Waziri
wa Maliasili na Utalii,Prof.Jumanne Maghembe (katikati) akizungumza na
wananchi kwenye siku ya kilele cha Maadhimisho ya miaka 110 ya vita vya
Maji Maji na uzinduzi wa Makumbusho ya Hayati Rashidi Kawawa
yaliyofanyika mkoani Ruvuma katika wilaya ya Songea. Wengine ni Mkuu wa
mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilis Mahenge ( wa pili kulia) Mbunge wa viti
maalum wa Ruvuma, Jacquiline ngonyani ( wa kwanza kulia) Balozi wa
Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke ( wa kwanza kushoto) pamoja na
Chifu wa wangoni, Emanuel Zulu (wa pili kushoto) . Picha na Lusungu
Helela- WMU)
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe akiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Ruvuma, Dkt. Binilis Mahenge wakiangalia baadhi ya Nishani alizokuwa
akitunukiwa Dkt. Rashid Mfaume Kawawa katika kulitumikia taifa kwa
uzalendo mara baada ya kuzinduzia jana Makumbusho ya Hayati Rashidi
Kawawa yaliyofanyika mkoani Ruvuma katika wilaya ya Songea. Picha na
Lusungu Helela- WMU)
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe (wa pili kushoto)
akizungumza na mtoto wa wa Hayati Dkt. Rashid Mfaume Kawawa, Vita Kawawa
( wa kwanza kushoto) mara baada ya kuangalia baadhi ya vitabu vya
Hayati Kawawa alivyokuwa akivipenda kuvisoma enzi za uhai wake vilivyopo
katika Makumbusho ya Hayati Rashidi Kawawa baada ya kuzindua makumbusho
hayo iliyofanyika jana mkoani Ruvuma katika wilaya ya Songea.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe akiweka silaha ya jadi
(rungu) kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa waliouawa kwa kunyongwa
na wakoloni kwenye siku ya kilele cha Maadhimisho ya miaka 110 ya vita
vya Maji Majiyaliyofanyika mkoani Ruvuma katika wilaya ya SongeaBalozi
wa Ujerumani nchini Tanzania
Mbunge
wa viti maalum wa Ruvuma (CCM) Jacquline Ngonyani akiweka silaha ya
jadi (rungu) kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa waliouawa kwa
kunyongwa na wakoloni kwenye siku ya kilele cha Maadhimisho ya miaka 110
ya vita vya Maji Majiyaliyofanyika mkoani Ruvuma katika wilaya ya
SongeaBalozi wa Ujerumani nchini Tanzania
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Prof.Jumanne Maghembe ( wa tatu kulia) akiwa na
Chifu wa Kabila la wangoni, Emmanuel Zulu ( wa pili kulia) wakiwa
kwenye maandamano ya siku ya kilele cha Maadhimisho ya miaka 110 ya vita
vya Maji Maji na uzinduzi wa Makumbusho ya Hayati Rashidi Kawawa
yaliyofanyika mkoani Ruvuma katika wilaya ya Songea. Wengine ni
Mwenyekiti wa Machifu wa nchini, Chifu Fundikila (kulia) pamoja na
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke ( wa pili kushoto) .
Picha na Lusungu Helela- WMU)







إرسال تعليق