Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kiwanda cha Lodhia Plastic Industries
Limited kabala ya kukitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016. Kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na kulia kwa Waziri Mkuu ni
Mwenyekiti wa Kampuni ya Nodhia Group, Haroon Lodhia.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kiwanda
cha Lodhia Plastic Industries Limited cha jijini Arusha, Haroon Lodhia
(kushoto ) kuhusu utengenezaji wa mabomba ya plastic wakati
alipotembelea kiwanda hicho,Desemba 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kitazama matangi yanayotengenezwa katika kwanda
cha Lodhia Plastic Industries wakati alipokitembelea kiwanda hicho
Desemba 3, 2016 .
Waziri
Mkuu,Kasim Majaliwa akitazama gari linalotengenezewa bodi maalum kwa
ajili ya shughuli za utalii wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza
mabodi ya magari cha HansPaul cha jijini Atusha Desemba 3, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa
kiwanda cha Fibreboards cha Arusha, Tosky Hans (wapili kulia) kuhusu
bidhaa zinazozalishwa na kiwanda hicho wakati alipokitembelea Desemba 3,
2016. Watatu kulia ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda
cha unga cha MONABAN cha Arusha wakati alipokitembelea Desemba 3, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfuko wenye unga wakati alipotembelea
kiwanda cha unga cha MONABAN jijini Arusha Desemba 3, 2016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shehena ya ungwa uliosindikwa wakati
alipotembelea kwanda cha unga cha MOBAN cha jijiniArusha Desemba 3,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

إرسال تعليق