Mmoja wa maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto)
akimwelezea mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa sayansi nchini
'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es
Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam
(DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya
intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na
huduma zake mpya mbalimbali.

Timu ya mauzo ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ikiwa katika banda lao
nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA
thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo
umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa
kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure
kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake
mpya mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The
3rd Sci-GaIA thematic Workshop' ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia
Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa
katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL.
Baadhi ya wateja (kushoto) wakipata huduma katika banda la Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) lililokuwa nje ya mkutano wa Tatu wa wadau wa
sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam, TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa
mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya
mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The
3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam,
ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa
kushirikiana na European Commission wakishiriki katika mkutano huo. TTCL
imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya
maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa tatu wa wadau wa sayansi nchini 'The
3rd Sci-GaIA thematic Workshop' ulioandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia
Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission wakiwa
katika banda la maonesho ya bidhaa mpya za TTCL wakipokea vipeperushi
vya kampuni ya TTCL vinavyoelezea bidhaa na huduma zao mpya.
No comments:
Post a Comment