Kundi
la DDI Crew la jijini Dar es wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano
la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya
Don bosco Oysterbay jijini,Shindano hilo limeandaliwa na EATV na
kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Vijana
wanaounda kundi la Mazabe Crew la jijini Dar es wakifanya mambo yao
wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika
katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini, Shindano hilo
limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya
makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu
fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kikundi
cha The Guest Crew la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao
kusakata dance wakati wa shindano la robo fainali la Dance 100% 2016
lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es
Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom
Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika
hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa
wiki

TIMU
MAKOROKORO: Kundi la timu Makorokoro Boys la jijini Dar es salaam,
wakionyesha umahiri wao wa kusakata dance wakati wa shindano la robo
fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco
Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na
kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
TIMU
MAKOROKORO: Kundi la timu Makorokoro Boys la jijini Dar es salaam,
wakionyesha umahiri wao wa kusakata dance wakati wa shindano la robo
fainali la Dance 100% 2016 lililofanyika katika viwanja vya Don bosco
Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na
kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kundi
la J COmbaty la Zanzibar wakikonga nyoyo za mashabiki wakati wa robo
fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini
Dar es Salaam . Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na
Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia
katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo
mwishoni mwa wiki.

la Wazawa Crew la jijini Dar es Salaam,wakifanya manjonjo yao ya
kudansi wakati robo fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja
vya Don bosco jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV
na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kundi
la Wazawa Crew la jijini Dar es Salaam,wakifanya manjonjo yao ya
kudansi wakati robo fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja
vya Don bosco jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV
na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Kundi
la Clever Boys la jijini Dar es Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki
wakati robofainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don
bosco jijini Dar es Salaam . Shindano hilo limeandaliwa na EATV na
kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13
yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika
viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
TCW:
Vijana wanaunda kundi la TCW Crews la jijini Dar es Salaam, wakikonga
nyoyo za mashabiki wakati robofainali ya shindano la Dance100%2016
katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam, Shindano hilo
limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya
makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika hatua ya nusu
fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.
Mashabiki
wa kudansi wakifuatilia mchuano mkali wa shindano la robo fainali ya
Dance 100% 2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es
Salaam,Uliokutanisha makundi 13 na kumenyana na makundi 10 kuingia hatua
ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay
wiki ijayo chini ya Vodacom Tanzania na EATV.
Baadhi
ya mashabiki wa kudansi wakifuatilia mchuano mkali wa shindano la
robo fainali ya Dance 100% 2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar
es Salaam,Uliokutanisha makundi 13 na kumenyana na makundi 10 kuingia
hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja vya Don bosco
Oysterbay wiki ijayo chini ya Vodacom Tanzania na EATV.

إرسال تعليق