Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiangalia baadhi ya
bidhaa zinazozalishwa na wajasiliamali wanawake wakati alipotembelea
banda la Wanawake na Maendeleo (WIPE) katika Viwanja vya Maonesho ya
Biashara jijini Dar es Salaam, kulia ni Mke wa Rais wa
awamu ya tatu Mama Anna Mkapa.
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo toka kwa
mjasiliamali juu ya vyakula vilivyosindikwa wakati alipotembelea banda
la Wanawake na Maendeleo (WIPE), Viwanja vya Kimataifa vya Mwalimu
Nyerere.
:
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), akiangalia mafuta ya
kula yanayotengenezwa na wajasiliamali , wakati alipotembelea banda la
Wanawake na Maendeleo (WIPE), Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya
Biashara vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam .
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiuliza swali kwa mjasiliamali
wakati alipotembelea banda la wanawake Wajasiliamali (WIPE), Viwanja
vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere, Dar es
Salaam .
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi
wa VETA kanda ya Dar es Salaam Bw. Habibu Bukko wakati alipotembelea
banda la VETA katika Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam .
Rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Balozi Amina Salum
Ali,wakati alipotembelea banda la Wanawake na Maendeleo (WIPE) katika
Viwanja vya Kimataifa vya Maonesho ya Biashara vya Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko zanzibar
Balozi Amina Salum Ali(wa tatu kushoto) pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (wa pili
kulia) wakati alipotembelea katika maonesho ya 39 yaa Biashara ya
Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es
Salaam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati
alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar katika maonesho ya 39 ya
Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini
Dar es Salaam,(kushoto) Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Balozi
Amina Salum Ali na kulia mjasiria mali Fadhil Mohamed wa Kiembesamaki
Zanziba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiangalia biashara mbali mbali za vipodozi wakati
alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar katika maonesho ya 39 ya
Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya sabasaba Jijjini
Dar es Salaam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akiangalia biashara mbali mbali za viatu vya Makubadhi na
Mikoba wakati alipotembelea banda la vikundi vya Zanzibar, katika
maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya
sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akipangalia mashine ya kutengenea sabuni pamoja kuapata
melezo kutoka kwa Mkurugenzi George M.Buchafwe wakati alipotembelea
mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika
viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam (kulia) mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Maendeleo ya Ziwanda vidogo vidogo (SIDO) Bw.Omar Jumanne
Bakari
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kiongozi wa Mkombozi Group
(NGARABUTO) Bw.Amos Z.Mshina,kuhusu Usindikaji na Usambazaji wa Unga wa
Muhugo katika maeneo ya Sengerema Mkoani Mwanza,wakati alipotembelea
mabanda ya maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika
katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kulia) akiangalia biashara mbali mbali ya mikoba wakati
alipotembelea maonesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika
katika viwanja vya sabasaba Jijjini Dar es Salaam,(kulia) Mwenyekiti wa
Mfuko wa Fursa Sawa kwa wote (EOTF) Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna
Mkapa. Picha na Ikulu.








Post a Comment