Kamishna
Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akipunga mkono kwa Maofisa,
wakaguzi, Askari na wageni mbalimbali waliohudhururia sherehe za kumuaga
rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki katika Chuo cha Polisi
Moshi.
Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman Kova akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa sherehe
za kumuaga rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki katika Chuo cha
Polisi Moshi
Maofisa
wa Polisi wakisukuma gari maalumu lililombeba Kamishna Mstaafu wa Jeshi
la Polisi Suleiman Kova kutoka katika viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi
wakati wa sherehe
za kumuaga rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi zilizoongozwa na
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki.
Gari
maalumu lililombeba Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi Suleiman Kova
likipita katika ya gwaride ikiwa ni ishara ya kumuaga zilizofanyika
katika Chuo cha Polisi Moshi nakuongozwa na Naibu Inspekta Jenerali wa
Polisi, Abdulrahman Kaniki
Gwaride
Maalumu la Kumuaga Kamishna Mstaafu Suleiman Kova likipita mbele yake
kwa mwendo wa haraka wakati wa Sherehe za kumuaga rasmi baada ya
kustaafu utumishi.Sherehe hizo zilifanyika katika chuo cha Polisi Moshi.

Post a Comment