Pages

May 2, 2016

UKURASA MPYA WA KIPINDI CHA JOTO LA ASUBUHI CHA EFM 93.7

Kutoka kushoto ni Gerald Hando, Adella Tillya, pamoja na Paul James wakitangaza kipindi cha JOTO LA ASUBUHI live chini ya jendo la K-net house Kawe Beach Dar es salaam leo asubuhi.
Watangazaji mahiri Gerald Hando na Paul James (PJ) wameanza rasmi kutangaza 93.7 Efm redio siku ya leo ya tarehe 02/05/2016 katika kipindi cha Joto la asubuhi kilichoboreshwa wakiwa pamoja na Adela Tilya live nje ya jengo la K- net house zilipo ofisi za E fm. Kipindi hiki kinarushwa kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 12:00 hadi saa 3:00 Asubuhi. Usipitwe.
Rdj Spar akisababisha muziki live katika kipindi hicho asubuhi ya leo
Timu nzima ya Joto la Asubuhi katika picha ya pamoja na baadhi ya mashabiki wa Efm Redio walioshiriki katika kipindi hicho
Timu nzima ya joto la asubuhi pamoja na Rdj spar,
Gerald Hando akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake mzazi pamoja na dada yake walipofika katika ofisi za EFM redio kumpongeza.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...