![]() |
| Mdau wa tasnia ya urembo nchini,Hoyce Temu(kushoto) na Miss Tanzania 2014/15,Lilian Kamazima wakifurahia kinywaji |
![]() |
| Mnyange wa namba moja Tanzania,Lilian Kamazima akifurahia jambo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini,Fadhili Nkurlu ambaye alikua mgeni rasmi akizungumza jambo. |
![]() |
| Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini,Fadhili Nkurlu ambaye alikua mgeni rasmi akikata utepe kuzindua mashindano hayo. |
![]() |
| Yamoto Band ikifanya mambo yake jukwaani |
![]() |
| Wadau wa tasnia ya urembo wakifurahia jambo |










إرسال تعليق