KAMATI YA MISS TANZANIA YAZINDUA MASHINDANO HAYO MKOA WA ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni inayoandaa mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga(kulia)akimiminiwa kinywaji cha K Vant wakati wakiingia na wadau wa tasnia hiyo kwenye uzinduzi wa Miss Tanzania 2016 mkoa wa Arusha usiku wa kuamkia leo.

Mdau wa mrembo nchi ambaye ni mshauri wa mashindano ya Miss Tanzania,Hoyce Temu(katikati) akiwa na Miss Tanzania 2014/15 wakipata kinywaji cha K Vant ambao walikua wadhamini wa shughuli hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Triple A.

Mdau wa tasnia ya urembo nchini,Hoyce Temu(kushoto) na Miss Tanzania 2014/15,Lilian Kamazima wakifurahia kinywaji

Mnyange wa namba moja Tanzania,Lilian Kamazima akifurahia jambo.

Mkurugenzi wa kampuni inayoandaa mashindano ya Miss Tanzania,Hashim Lundenga akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa Miss Tanzania mkoa wa Arusha,katikati ni Mkurugenzi wa Mwandago Investment ,Chris Mwandago ambaye ni muandaji mashindano ya Miss Tanzania Kanda ya Kaskazini, na Mshauri wa Miss Tanzania nchini,Hoyce Temu.

Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini,Fadhili Nkurlu ambaye alikua mgeni rasmi akizungumza jambo.

Mkuu wa wilaya ya Arusha Mjini,Fadhili Nkurlu ambaye alikua mgeni rasmi akikata utepe kuzindua mashindano hayo.

Yamoto Band ikifanya mambo yake jukwaani

Wadau wa tasnia ya urembo wakifurahia jambo

Post a Comment

Previous Post Next Post