Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na mazingira yatembelea kiwanda cha TBL cha Moshi ,Pia watembelea wakulima wa Shayiri Monduli

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda,Biashara na Manzigira,Dk Dalaly Kafumu(kushoto) na Makamu wake,Vicky Kamata wakimsikiliza Meneja wa Mawasiliano wa kampuni ya Bia nchini(TBL)Emma Oriyo  wakati wa ziara hiyo. katika ziara hiyo
 Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
 Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki
 Wabunge wakipata maelezo ya  usindikaji kimea kutoka kwa Mkuu wa idara ya Ubora wa kiwanda hicho,Theotime Tengio(kulia) wakati wa ziara ya wabunge hao
Wabunge wakitembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda

Post a Comment

Previous Post Next Post