March 13 2016, Rais John Pombe Magufuli aliwateua wakuu wapya wa Mikoa 26 Tanzania bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwakatika vituo vyao vya kazi, 5 wamehamishwa
vituo vya kazi na 1 amepangiwa Mkoa Mpya wa Songwe. Leo March 15 2016
Ndio siku wakuu hao wamefika Ikulu Dar es salaam na kula viapo vya utii
mbele ya Rais Magufuli.

Anne Malecela, Paul Makonda na John Malecela

Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Seleman Said Jaffo

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjella Kairuki

Said Meck Sadiki

.

Rais John Pombe Magufuli kabla ya kuanza kuwaapisha wakuu wapya wa Mikoa

Rais Magufuli akimuapisha Anne Malecela


Rais Magufuli akimuapisha Mkuu wa mkoa Dae es salaam Paul Makonda

Rais Magufuli katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na Makamu wa Rais

Baadhi ya Wakuu wa Mikoa wakisaini hati za Viapo

Wakuu wa Mikoa wakila viapo kwa sauti

Makamu wa Rais Samia Suluhu akiongea na Wakuu wa Mikoa

Rais Magufuli katika picha ya pamoja na Wakuu wapya wa Mikoa

إرسال تعليق