Wanafuzi
106 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Namabengo wilaya ya
Namtumbo mkoani Ruvuma wameandamana kwenda kumwona mkuu wa mkoa Said Mwambungu
kumpelekea malalamiko dhidi ya vitendo vya udharirishaji wanavyofanyiwa na
makamu mkuu wa shule hiyo Shaibu Champunga. Ebu wasikilize kupitia RUVUMA TV on
Line.
HABARI ZA JIONI MDAU , MSAADA TUTANI ILI PAMOJA NA KUITANGAZA CHANEL RUVUMA TV ON LINE .
rweyemamuinfo.blogspot.com
0


إرسال تعليق