DKT MASHINJI AKABIDHIWA MIKOBA YA DKT SLAA USIKU WA MANANE BAADA YA KUSHINDA UKATIBU MKUU CHADEMA JIJINI MWANZA.

Wajumbe wa Baraza kuu Chadema   
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema. 

Wajumbe wa Baraza kuu Chadema wa pili kulia ni Tundu Lissu. 
Kipaumbele chetu ni katiba ya wananchi ni kitu cha kwanza tutakacho kisimamia tunacho hitaji kwa sasa ni kufumua mfumo wa kiutawala kwa kuwa kumekuwa na muuingiliano wa kimajukumu kingine ni kwenda kuuwezesha umma uweze kutambua haki zao na uwe tayari kutetea haki zao.alisema Vicent Mashinji baada ya kuibuka mshindi nafasi ya Katibu Mkuu Chadema. 

 
Dkt Mashinji Aliongeza kwa kusema kuwa Kila mtu ana ndoto hiyo hata mtoto mdogo ukimuuliza atakwambia ana tamani kuwa mtu flani, bahati mbaya Dk. Slaa sijamkuta ofisini hivyo ni ngumu kulinganisha viatu vyake na vyangu.
Mbunge wa Arusha mjini Godbess Lema 
 

Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu akimpongeza Katibu Mkuu wake. 

Meya wa Kinondoni Boniface Jakob na Mbunge wa Kawe Halima Mdee 

Aliyekuwa mgombea Urais Edward Lowassa 

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe 

Naibu Katibu Mkuu Salumu Mwalimu 

  
Wasifu wa Katibu Mkuu mpya wa Chadema, Vicent Mashinji.

Professional experience 

July 2008 – Present 
Clinical Advisor & TB/IHV 
August 2006 – June 2008 ( 1 year 10 months) 
ART Program Doctor/IMA team lead 
IMA Worldheath 
October 2005 – August 2006 ( 10 months) 
Medical Officer/Anaesthesiology 
Regency Medical Center 

August 2003 – October 2005 ( 2 years 2 months) 
Medical Officer 
Muhimbili National Hospital 
November 2002 – August 2003 (9 mothns) 
Research Assistant 
Freelance 

September 2001 – October 2002 (1 year 1 mothn) 
Intern Doctor 
Muhimbili National Hospital 
Education history 
August 2010 – Present 
Open University of Tanzania 

PhD 
April 2010 – April 2010 
AMREF/UCLA Anderson School 

MDI Certificate 
September 2007 – March 2010 ( 2 years 6 mothns) 
Blekinge Institute of Technology 

MBA 
May 2008 – May 2008 
UMSOM-IHV 
IPEP Certificate 

October 2005 – October 2005 
Evin School of Management 
Certificate in CSR 
September 2003 – April 2005 ( 1 year 7 mothns) 
Muhimbili University College of Heath Sciences 

MMed/Anaesthesiology 
September 2004 – September 2004 
Muhimbili University College of Health Sciences 
Certificate in Research Methodology 
October 1995 – July 2001 (5 years 9 mothns) 
Makerere University 

MBChB 
July 1992 – June 1994 (1 year 11 mothns) 
Mzumbe High School 

ACSEE 
January 1988 – October 1991 (3 years 9 mothns) 
St. Pius X Seminary, Makoko 

GCSEE 
January 1981 – October 1987 (6 mothns) 
Iligamba Primary School 
Leaving Certificate/Primary School 

Post a Comment

Previous Post Next Post