Home Breaking News: Ajali imetokea Dodoma muda huu rweyemamuinfo.blogspot.com 8:46 AM 0 Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa, hadi sasa hakuna taarifa kamili ya ajali hii. Gari la mafuta likiendelea kuteketea kwa moto . Wananchi wakishuhudia ajali .
Post a Comment