الصفحة الرئيسية Uteuzi mpya wa Rais Magufuli leo Jan 28 2016 rweyemamuinfo.blogspot.com 5:46 م 0 Rais John Pombe Magufuli leo amefanya mabadiliko ya uteuzi na kumtea Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania akichukua nafasi ya Juma Reli ambaye muda wake umeisha.
إرسال تعليق