Baadhi
ya walimu wa shule ya Awali ya Good Shephard Academy iliyopo Forest
Jijini Mbeya Katika Picha ya Pamoja na watoto walio hitimu masomo yao Kg
3 ambapo sherehe za kuwaaga watoto hao zilifanyika mwishoni mwa wiki
katika Hotel ya JM Mbeya .
|
Baadhi ya wahitimu katika Picha ya pamoja
|
Baadhi
ya Wazazi walio hudhuria mahafali ya Tatu katika shule ya Good
Shephard Academy jijini mbeya yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika
Hotel ya JM Forest Mbeya .
|
Mr
and Mrs Gervas Mbuthiah ambao ndio wamiliki wa shule hiyo ya Good
Shephard Academy jijini Mbeya wakifurahia jambo katika sherehe za
kuwaaga watoto waliomaliza masomo yao ya awali( Kg 3 ) katika Ukumbi wa
JM hotel jijini Hapa .
|
Wazazi waliohudhuria sherehe hizo .
|
Mgeni
Rasmi katika Sherehe hizo Bi. Aika Temu Afisa Maendeleo ya jamii Mkoa
wa Mbeya akizungumza katika sherehe hizo ambapo alitumia fursa hiyo
kuwataka wazazi na walezi kutimiza kikamilifu wajibu wao kwa kuhakikisha
wanafuatlia kwa ukalibu malezi ya watoto wao.
|
Mkurugenzi
wa Shule ya Good Shephard Academy Bw. Gervas Buthiah akizungumza katika
sherehe hizo zilizofanyika katika Ukumbi wa JM hotel jijini Hapa.
|
Baadhi ya wazazi na walezi waliohudhuria sherehe hizo .
|
Baadhi
ya walimu wa shule hiyo katika wakijitambulisha kwa wazazi na walezi
waliohudhuria sherehe hizo ambazo zilifanyika katika Ukumbi wa JM
mwishoni mwa wiki jijini Mbeya.
|
Mgeni
Rasmi Bi.Aika Temu pamoja na Mkurugenzi wa Shule hiyo Bw.Gervas Mbuthia
wakitoa vyeti wa watoto waliohitimu masomo ya awali katika shule hiyo
ya Good Shephard Academy iliyopo Forest jijini Mbeya .
|
Mtoto
Jasmine Madafa akionesha cheti chake alitunukiwa mara baada ya kuhitimu
masomo yake ya wali katika shule ya Good Shephard Academy Forest jijini
Mbeya mwishoni mwa wiki.
|
Watoto waliohitimu Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy
|
Pongezi kutoka kwa ndugu na jamaa kwa mtoto wao mara baada ya kuhitmu masomo ya awali katika shule hiyo.
|
Mtoto Mpeli Mwamonje akionesha cheti chake cha Masomo ya awali katika shule ya Good Shephard Academy jijini Mbeya .
|
Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya.
|
Wazazi katika picha ya Pamoja na watoto waliohitimu masomo yao ya awali katika shule ya Good Shephard Academy ya jijini Mbeya
|
Pongezi kwa mtoto
|
PICHA NA (JAMIIMOJABLOGMBEYA )
No comments:
Post a Comment