
Baada ya kuwa katika uchumba wa muda mrefu wa takribani miaka minne Christine Bleakley na kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya New York City Frank Lampard, December 20 amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu. Lampard sasa anaungana katika kambi ya wanasoka walioa baada ya kiungo kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima nae kufunga ndoa mwaka 2015 na mchumba wake wa muda mrefu. Hizi ndio Pichaz 15 za ndoa ya Frank Lampard na Christine Bleakley.









Nahodha wa Chelsea John Terry na mkewe Toni

Branislav Ivanovic na mkewe

Peter Cech akiwasili na mkewe katika harusi ya Lampard






إرسال تعليق