Mratibu
na Msimamizi Mkuu wa Jumuiya Ya Mama na Baba Lishe Mkoa wa Dar es
Salaam, Said Said (wa pili toka kulia), akizungumza na waandishi wa
habari katika ukumbi wa idata Maleleo kuelezea kuhusu Uzinduzi wa
Ushirika wa Mama na Baba Lishe unaotarajia kufanyika Novemba 15, 2015
ukumbi wa SabaSaba jijini Dar es Salaam. Lengo la jumuiya hiyo
kuunganisha kwa pamoja wadau mbalimbali, kutoa fursa kulinda haki za
ajira na kuzitafutia ufumbuzi na kuondoa tatizo la ajira kupitia tasnia
hii ikiwa ni kumtambua mama na baba lishe kama sehemu ya maisha ya kila
mmoja wetu, kwani kila mtanzania anaufahamu umuhimu wa mama na baba
lishe na takwimu zinaonyesha asilimia 50% ya wanzania waishio mijini
hupata huduma ya chakula. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Mama na Baba Lishe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani
Mhonzu akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo
kuelezea kuhusu Uzinduzi wa Ushirika wa Mama na Baba Lishe unaotarajia
kufanyika Novemba 15, 2015 ukumbi wa SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Mama
Lishe wakiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa idata Maleleo
kuelezea kuhusu Uzinduzi wa Ushirika wa Mama na Baba Lishe unaotarajia
kufanyika Novemba 15, 2015 ukumbi wa SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Waaandishi wa habari wakufuatia mkutano huo.
No comments:
Post a Comment