-Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akimjulia hali Mkurugenzi wa kituo cha Sheria
na Haki za Binadamu(LHRC) Dkt.Helen Kijo Bisimba aliyelazwa katika
hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa katika
ajali jana.

Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akiwajulia hali wagonjwa waliolazwa katika
hospitali ya Taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya kushtukiza
hospitalini hap oleo na kuwafariji wagonjwa.
-Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na kuwapa moyo wauguzi katika
hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea
hali halisi.
Rais
Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na kuwapa moyo wauguzi katika
hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea
hali halisi.
-Rais
Dkt.john Pombe Magufuli akiondoka katika hospitali ya taifa Muhimbili
wakati alipofanya ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
(picha na Freddy Maro)
Rais
Dkt.john Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa akina mama aliyelazwa
na mtoto wake katika hospitali ya taifa Muhimbili wakati alipofanya
ziara ya ghafa kujionea hali halisi.
No comments:
Post a Comment