Pages

November 7, 2015

Edward Lowassa kaandika haya baada ya TB Joshua kuhudhuria nyumbani kwake

Aliyekuwa waziri mkuu wa TanzaniaEdward Lowassa ameweza kutoa shukrani zake kwakupitia account yake ya twitter baada ya kutembelewa nyumbani kwake na muhubiri wa kimataifa kutokea Nigeria nabii TB Joshua.

Lowassa ameandika haya 
Tags :

Nashukuru kwa heshima aliyonipa mtumishi wa Mungu TB Joshua kuja nyumbani kujadili mambo ya taifa na kushiriki kwenye sala na familia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...