Dereva wa Katapila akibomoa moja ya nyumba za Kurasini
Fatuma Mussa mkazi wa Kurasini akizungumza na waandishi wa habari
(pichani hawapo) kwa hisia kali akilalamikia ubomoaji wa makazi yao
Mwenyekiti wa Serikaili za Mtaa Shimo la Udongo Jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari
Mkazi
wa Kurasini Jijini Dar es Salaam Bi Nyakomba Selemani akiwa mbele ya
gofu la nyumba yake akionyesha Stop Oda lakini imebomolewa
Wahanga wakijaribu kupakia vitu katika gari tayari kwakwenda kutafuta hifadhi
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu
Wahanga na vyombo vyao
Anayedaiwa
kuwa ni Askari kanzu wapili kulia akipandishwa Gari akihusishwa
kuwatupia mawe Mgambo ambapo alisikika akisema mimi nilikuwa nikiwapa
muongozo.
Mkazi wa Kurasini akiwa amedhibitiwa na Mgambo akidaiwa kuwarushia mawe
akiwa na wenzake na kudaiwa kukutwa na kisu akiwa amejiinamia baada ya
kunaswa kidao usoni akiwa amevishwa pingu
No comments:
Post a Comment