![]() |
| Mjumbe wa Bodi ya Muungano wa Redio za Jamii nchini(COMNETA)Balozi Christopher Liundi akichangia mada ya umuhimu wa matumizi ya Redio za Jamii. |
![]() |
| Kiongozi wa Mila ya jamii ya wafugaji katika Kijiji cha Terrat wilaya Simanjiro mkoa wa Manyara,Lesira Samburi akizungumza kwenye kongamano la kuhamasisha amani kuelekea uchaguzi Mkuu. |
![]() |
| Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Redio ya Jamii 94.9 Mkoani,Pemba,Hamdu Hasan Bakari(kushoto)akiteta jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Dini kwaajili ya Amani,Mchungaji Thomas Godda |
![]() |
| Katibu Mtendaji wa Baraza la Dini kwaajili ya Amani,Mchungaji Thomas Godda(kushoto)akiteta jambo na maafisa wa Unesco,Nancy Kaizirege na Al -Amin Yusuph |
![]() |
| Mbegu zinazotumika kuzalisha mafuta kwaajili ya nishati |
![]() |
| Viongozi wa Mila wakionesha ujumbe wa kuhamasisha amani . |












إرسال تعليق