Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wananch baada ya uwasili kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita ambaye pia ni
Mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Joseph Kasheku maarufu kwa jina la Msukuma
Msanii
wa Bongo Movie, Wema Sepetu, akiwasalimia wananchi katika mkutano wa
kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita
Vijijini
mkoani Geita.
Mjumbe wa Kamati ya Kamapeni za CCM, Christopher Ole Sendekeakiwahutubia wananchi katika mkutano
wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita.
Vijana
wakiwa na bango kufikisha ujumbe kwa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita.
Mratibu
wa Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan, Angela Kizigha, akihutubia wananchi katika mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita
Vijijini
mkoani Geita.
Kijana
na Makufuli yake mgongoni wakati wa mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita
Vijijini
mkoani Geita.
Mratibu wa Kampeni za CCM, Angela Kizigha akiwa na Wema Sepetu wakati wa mkutano huo wa kampeni
Mkuu
wa mkoa wa Gaita, Fatma Mwasa, akihutubia wananchi wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la
Geita Vijijini
mkoani Geita, ambapo alisisitiza kuwa serikali ya mkoa imejiandaa vya
kutosha kuhakikisha hatua zote za uchaguzi mkuu zitafanyika kwa amani na
utulivu katika mkoa huo
Maelfu ya wananchi wakiahidi kuichagua CCM, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa,
akimuonyesha tukio la kufurahisha, Mjumbe wa Kamati ya kampeni za CCM,
Christopher Ole Sendeka, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita.
Mgombea
Ubunge jimbo la Geita Vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Geita, Joseph Kasheku 'Msukuma' akihutubia maelfu ya wananchi katika
mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Nyawilimilwa,
jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita.
Wananchi wakiishangilia CCM kwenye mkutano huo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
Viwanja vya Nyawilimilwa, jimbo la Geita Vijijini
mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO















إرسال تعليق