Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara Oktoba 10,
2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko, akiwahutubia
wananchi wake katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara .
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia wananchi wa Tarime katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara .
Vijana wa Bodaboda Mjini Tarime wakiongoza mapokezi ya Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, alipowasili mjini tarime kwa Mkutano wa
Kampeni.
Sehemu ya wananchi wa Mji wa Tarime, walioshiriki Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba, Tarime Mjini, Mkoani Mara .









إرسال تعليق