KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.


Mhe. Katibu Mkuu Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozi. ( TANZANIA HOUSE).
 Mhe. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha wageni Ubalozini Washington DC.

 Mhe Katibu Mkuu akiwa pamoja na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bi. Swahiba H. Mndeme.


Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, Washington D.C

Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC.

Mhe. Katibu Mkuu akiwa katika picha nyingine na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC. 
PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI

Post a Comment

أحدث أقدم