Gari la
mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika
kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu
ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kisumba Wilaya
ya Kalambo mkoani Rukwa . (Picha na Francis Dande)
Gari la
mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika
kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu
ya kutaka ahutubie katika kijiji cha Kisumba.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.

wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitiaChadema, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Ukawa wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.
Makamu
Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (mbele) akiongoza
msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni
katika Kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya wananchi kuzuia msafara
wa mgombea huyo.
Baadhi ya wananchi wakiwa juu ya mti ili kumuona mgombeamwenza wa Ukawa wakati akihutubia wakazi wa kijiji cha Kisumba Rukwa.
Msafara
wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwa
umesimama katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya Kalambo Mkoa wa Rukwa
baada ya wananchi kuusimamisha katika kijiji hicho.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi
wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na wananchi
wa kijiji cha Kisumba mkoani Rukwa baada ya kuzuia msafara wake.
Wananchi
wakiusindikiza msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma
Haji Duni baada ya kuusimamisha katika kijiji cha Kisumba Wilaya ya
Kalambo mkoani Rukwa ili ahutubie mkutano katika kijiji hicho.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiagana na Ofisa wa
Polisi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kasanga
mkoani Rukwa.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwa amembeba mtoto,
Amon frednard wa kijiji cha Kipwa aliyekuja kupata matibabu katika
zahanati ya kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni mama yake mzazi,
Neema Clement.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akikagua zahanati ya
Kasanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji
cha Kasanga mkoani Rukwa. Kulia ni tabibu msaidizi wa Zahanati hiyo,
Eliudi Humbo.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akipata maelezo kutoka
kwa tabibu msaidizi wa zahanati ya Kasanga, Eliudi Humbo alipotembelea
zahanati hiyo kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha
Kasanga mkoani Rukwa.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwajulia hali
wananchi waliofika kupata huduma katika zahanati ya Kasanga iliyopo
katika wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwajulia hali wananchi
waliofika kupata huduma katika zahanati ya Kasanga iliyopo katika
wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa.
Jengo la zahanati ya Kasanga.
Mgombea
Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akitoka katika jengo la
mahabara la zahanati hiyo ambalo limejengwa na Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema)
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akikagua choo cha zanahati ya kijiji cha Kasanga.
No comments:
Post a Comment