Taarifa rasmi ni kuwa kumetokea ajali ya gari usiku huu ikimuhusisha mgombea Ubunge wa CHADEMA, jimbo la Lushoto, Mohamed Mtoi na kwa taarifa ni kuwa amefariki dunia katika ajali hiyo.pichani ni gari lililohusika katika hiyo ajali
WAMETOKA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI TARAFA YA MLOLA.
KAMANDA MTOI AKAWAPELEKA WENZAKE MPAKA LUSHOTO MJINI KISHA AKAONDOKA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE NDIO NJIANI GARI IKAPATA AJALI NA NDIPO KAMANDA MTOI AKAFARIKI DUNIA.
Maelezo haya yamethibitishwa na katibu wa chama wilaya Lushoto Kamanda Dulla.


إرسال تعليق