Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa
vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na
wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda
kusoma nchini India jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni
wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina
wanafunzi waliokuwa wanaondoka kwenda kusoma vyuo vikuu nchini India
mapema jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni
wakala wa vyuo vya nje ya nchi, wakikagua wanafunzi vyaraka muhimu
walizopaswa kusafiri nazo ikiwemo viza, vyeti, na passport.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa
vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaonyesha wanafunzi sehemu
ya kwenda kukaguliwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wanafunzi wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwasili katika
Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa
vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaelekeza wanafunzi jinsi
ya kuingia kwenye sehemu ya ukaguzi.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa
vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiambatana na wanafunzi
kuelekea sehemu ya ukaguzi.
Wafanyakazi
wa kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya
nje ya nchi, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha
zoezi muhimu katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
jijini Dar es Salaam. Picha zote na Emmanuel Massaka.
No comments:
Post a Comment