Pages

August 14, 2015

ANGALIA MSAFARA WA LOWASSA ULIOKUWA UNAENDA KWENYE MAZISHI YA MZEE PETER KISUMO MARORO

Polisi mkoani Kilimanjaro wakiwa wameuzuia msafara wa Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais kupitia Chadema na anaeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa katika kijiji cha Maroro, Wilayani Mwanga mkoa wa Kilimanjaro,wakati anakwenda kuhudhuria mazishi ya Kada na Mwasisi wa Chama cha Mapinduzi CCM, mzee Peter Kisumo huko Usangi.
 Viongozi wa upinzani waliokua katika msafara huo.
 Msafara ukiwa umesimama

 Polisi wakiwa wametanda.
 Edward Lowassa akizungumza jambo.
 Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akijaribu kuzungumza na Polisi.
 Mbatia akifafanua jambo kwa Wanahabari kuhusiana na zuio hilo la Polisi.
Lowassa akizungumza kwa simu huku akiwa na Mbunge wa Moshi Mjini Mzee Philemon Ndesamburo.
Edward Lowassa akizungumza na wanacham wa vyama mbalimbali waliojitokeza kumlaki na kumsimamisha katika eneo la Boma Ng'ombe. 

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...