Pages

July 18, 2015

SHIRIKA LA SIMU NCHINI(TTCL)LATOA ZAWADI ZA IDD EL FITR ARUSHA

Kaimu Meneja wa Shirika la Simu nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard(kulia) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi zawadi kwa makundi maalumu kwaajili ya kusherekea Siku kuu ya Idd El Fitr,kushoto ni Mratibu wa Kanda ya Kaskazini,Thomas Lemunge.

Kaimu Meneja wa Shirika la Simu nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard(kushoto) akitoa zawadi kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Watoto wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni jijini Arusha,Emmy Mbilinyi  kwaajili ya kusherekea Siku kuu ya Idd El Fitr.

Kaimu Meneja wa Shirika la Simu nchini(TTCL)mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard(mwenye koti) akikabidhi zawadi mbalimbali Kituo cha Watoto Yatima cha Moshono  kwaajili ya kusherekea siku kuu ya Idd el Fitr.

Watoto wenye mahitaji maalumu kutoka vituo vya St Joseph Orphanage Center(Moshono) na Shule ya Watoto wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la simu nchini TTCL.

Watoto wenye mahitaji maalumu kutoka vituo vya St Joseph Orphanage Center(Moshono) na Shule ya Watoto wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Shirika la simu nchini TTCL.

Watoto wenye mahitaji maalumu kutoka vituo vya St Joseph Orphanage Center(Moshono) na Shule ya Watoto wenye ulemavu wa akili ya Kaloleni wakisikiliza nasaha za Kaimu Meneja wa TTCL mkoa wa Arusha na Manyara,Emmanuel Buchard.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...