Balozi Liberata Mulamula akiwa na mwenyeji wake mkuu wa itifaki Bw Peter Selfidge |
Balozi Liberata Mulamula akiwa na balozi wa Uganda Oliver Wonekha pamoja na mume wa balozi Eng. George Mulamula.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maafisa wa ubalozi wakisikiliza hotuba zilizokua zikiendelea.
Mkuu wa Itifaki, Bw Peter Selfidge pamoja na Balozi Liberata Mulamula wakipata nasaha fupi |
Baadhi
ya mabalozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki nao hawakua nyuma kujuika na
Balozi Liberata Mulamula kutoka kushoto ni Balozi wa Kenya nchini
Marekani Mhe Robinson Githae pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Marekani
Mhe, Mathilde Mukantabana.
Balozi
Liberata Mulamula akitoa zawadi kama shukrani na ukumbusho wa
ushikiano wa Tanzania na Marekani kwenye kudumisha diplomasia baina ya
nchi hizo.
Balozi Liberata Mulamula pamoja na Balozi wa Cabo Verde nchini Marekani Mhe . Jose Luis Rocha.
Picha
ya pamoja baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi na familia ya Balozi
Liberata Mulamula bila kumsahau Bw. Nathan Flook afisa wa dawati la
Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.
No comments:
Post a Comment