Orodha Ya Maraisi 10 Wa Afrika Wanaoingiza Mkwanja Mrefu Zaidi, Raisi Kikwete Ameshika Namba 4
Kwa mujibu wa mtandao wa “Africa Review ” wa Afrika kusini umetoa
orodha ya maraisi 10 wa Afrika ambao wanaingiza pesa ndefu zaidi, Raisi
wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete ameshika
namba 4, Research hiyo imeonesha kuwa ni serikali chache zinazoweka wazi
kiasi cha pesa zinazowalipa viongozi wa nchi zao, na orodha hiyo
imetengenezwa kwa kuzingatia kiasi cha pesa ambacho nchi inaingiza. Hii ndio orodha kamili
Raisi wa Cameroon Paul Biya, ameshika namba moja kwa kiasi cha
$601,000 ambacho amemzidi raisi wa Afrika kusini ,Jacob Zuma mbali ya
kuwa uchumi wa Afrika kusini umeuzid mara 10 zaidi uchumi wa Camerron. Kwa ujumla ,Research imeonesha kwamba viongozi wa nchi maskini huwa
wanalipwa pesa ndefu zaidi kuliko wale wa nchi zenye uchumi wa juu.
Lakini kuna baadhi ya marais wanaaminika kuwa utajiri mkubwa binafsi
japo hawapo kwenye orodha hii.
No comments:
Post a Comment