Pages

July 21, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA EXIM NA TBEA, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwakaribisha Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwa Ikulu jijini Dar esSalaam, kwa ajili ya mazungumzo.
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Kampuni ya TBEA, Mwakilishi Mkuu wa Kampuni ya Uandisi ya Kimataifa ya China, TBEA, Liu Zheng You, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kampuni ya TBEA, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 21, 2015.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Benki ya EXim, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Eng. Futakamba Mbogo (katikati) na Mshauri wa Kampuni ya TBEA, Skander Ettab, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leoJulai 21, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Benki ya Exim, baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 21, 2015. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...