Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akilakiwa na Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita, Wakati
aliposimama kuwasalimia akitokea jijini Mwanza kuelekea Kijijini kwake
Chato. Hapa ni Kivukoni Busisi Mkoani hapo, mapema asubuhi ya leo.
Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwahutubia maelfu ya Wanaccm na Wananchi wa Mkoa wa Geita,
mara baada ya kuwasili mapema leo asubuhi.
Umati
wa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Geita wakimshangilia Mgombea Urais
alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli
wakati akiwahutubia.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Msukuma akionekana ni mwenye furaha sana.
Mke wa
Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli, Mama Janet Magufuli akiwasalia maelfu wa Wanaccm pamoja na
Wananchi wa Mkoa wa Geita, leo.
Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwahutubia maelfu wa Wanaccm pamoja na Wananchi wa Mkoa wa
Geita, leo.
Msafara
wa Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John
Pombe Magufuli ukiwasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Geita. PICHA ZOTE
NA MICHUZIJR
No comments:
Post a Comment