Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe
Magufuli, mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, kwenye Ukumbi
wa Mikutano wa Dodoma Convetion Centre, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli
ameibuka kidedea kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake Amina
Salum Ally, akiibuka na kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro, akipata kura
59.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikumbatiana na Dkt. John
Pombe Magufuli, mara baada ya kutangazwa kuwa ndiye Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu
Mkuu wa CCM, Ndg. Abdulrahman Kinana wakipitia moja ya magazeti ya kila
siku wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM, Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment