Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani)
alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma akitokea
Mkoani Dodoma.
Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao
Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo
Wananchi wakimshangilia Dkt Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akijitambulisha kwao hapo mjani mjini Bagamoyo
Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya Ubunge
katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Chalinze
na kumkaribisha Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru Wananchi wa Chalinze (hawapo
pichani) pamoja na kujitambulisha kwao alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Aliyekuwa
Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya Ubunge
katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete akiwasalimia Wananchi wa Chalinze
na kumkaribisha Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru Wananchi wa Chalinze (hawapo
pichani) pamoja na kujitambulisha kwao alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani)
alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea
Mkoani Dodoma.
Wananchi wa Chalinze wakiwa wamelizunguka gari la Mteule wa Chama cha
Mapinduzi CCM kwa nafasi ya Urais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru na
kujitambulisha kwa Wananchi wa Kiwangwa alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Baadhi
ya Wakazi wa Mji wa Chalinze wakimshangilia kwa mayowe Mteule wa Chama cha
Mapinduzi CCM kwa nafasi ya Urais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru na
kujitambulisha kwa Wananchi wa Kiwangwa alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Baadhi
ya Wakazi wa Mji wa Chalinze wakimsikiliza Mteule wa Chama cha
Mapinduzi CCM kwa nafasi ya Urais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.
John Pombe Magufuli aliposimama mjini hapo kuwashukuru na
kujitambulisha kwa Wananchi wa Chalinze alipokuwa akirejea jijini Dar
jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya
Ubunge katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete akizungumza jambo na Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli mjini Bagamoyo,aliposimama mjini hapo kujitambulisha na
kuwashukuru kwa kujitokeza kwao kwa wingi kumpokea,alipokuwa akirejea
jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Chalinze,ambaye anawania tena nafasi ya
Ubunge katika jimbo hilo Mh.Ridhiwani Kikwete pamoja na Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli wakifurahia jambo mjini Bagamoyo,aliposimama mjini hapo kujitambulisha na
kuwashukuru kwa kujitokeza kwao kwa wingi kumpokea,alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodoma.
Wananchi wakifuatilia kwa makini meneno ya Dkt Magufuli.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Rajab Luhwavi akizungumza jambo na Mh.Ridhiwani Kikwete
Dkt Magufuli akijitambulisha kwa wakazi wa mji wa Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment