Yamoto Band wakiondoka kuelekea SA kufanya Video na Godfather
Vijana
wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella
kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza
kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidiHARAKATI ZA BONGO
No comments:
Post a Comment