Pages

June 5, 2015

LOWASSA,MAGUFULI WACHUKUA FOMU CCM DODOMA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akipokea mkoba ulio na fomu za Urais kwa tiketi ya Chama cha mapinduzi mjini Dodoma jana. Lowassa aliambatana na mkewe pamoja na makada kadhaa wa chama cha Mapinduzi.
Waziri wa Ujenzi, Dk John Pombe Magufuli akionesha mkoba wake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Oganaizesheni ya CCM, Mohamed Seif Khatib.
Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya CCM mji9ni Dodoma jana baada ya kuchukua fomu. Pamoja nae ni mkewe Regina Lowassa.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...