Pages

May 29, 2015

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AWASILISHA BAJETI YAKE BUNGENI MJINI DODOMA

4
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na Waziri kivuli wa Maliasili na Utalii, Peter Msingwa kabla ya kuasilisha bajeti yake bungeni.
5
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwasilisha bajeti bungeni mjini Dodoma.

8
 Lazaro Nyalandu akiondoka baada ya kumaliza kusoma bajeti yake.
1
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
7
Baadhi ya askari wa wanyamapori wakifuatlia hotuba ya bajeti bungeni.
2
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na naibu wake Mahmood Mgimwa bungeni.
3 
   Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi ya wabunge bungeni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...