Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akifungua Mkutano wa tatu wa Madaktari Bingwa wa Mifupa uliyofanyika katika Taasisi hiyo Dar es Salaam
Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia) akizungumza na Makt. Bingwa tota Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa Nadharia na Vitendo na unatarajia kumaliza 29-Mei 2015
Dkt. Zehrabanu Zulfikar akizungumza na Madkt. wakati wa Mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akisalimiana na Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International Dkt Lewis Zirkle, ambaye ametoa msaada kwa Hospitali 10 za Tanzania ikiwemo na Taasisi ya Mifupa, ambapo kila chuma kimoja ni Dola 600/= na Moi hadi sasa imesaidiwa Vyuma 4000
Madaktari wakifatilia kwa makini
Wakifatilia jambo kwa umakini mkubwa
Dk. Edmund Ndalama (mbele) akiwa na madkt. Bingwa wa Mifupa wakifatilia jambo wakati wa Mkutano huo
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa,ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akifatiliajambo wakati wa mkutano huo wa madkt. wa Mifupa kwenye Mkutano huo wakati alipokuwa akizungumza Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle,
Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) wakishirikiana na madaktari bingwa
Makt. wakiwa katika picha ya pamoja Baada ya kufanya Upasuaji wa Mifupa kwa mgonjwa
Dkt. wa Mifupa Moi Dkt. Billy Haonga akielekeza jambo kwa madkt. Bingwa wenzake toka Nchi mbalimbali kabla ya kumfanyia mgonjwa mwingine
Wauguzi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakimwangalia mgonjwa kwa ukaribu baada ya kufanyiwa Upasuaji katika Taasisi hiyo
Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle (kulia), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo
Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International toka Marekani na Muasisi Dkt Lewis Zirkle (wa pili kushoyo), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo wakipitia Fail lake
No comments:
Post a Comment