Pages

May 28, 2015

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfPHR) YAADHIMISHA SIKU YA AFRIKA

Makamu wa rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Jaji Elsie Thompon(kulia)akisoma hotuba yake kabla ya kupanda miti ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyoadhimishwa katika Mahakama hiyo jijini Arusha ,kutoka kushoto ni Majaji wa Mahakama hiyo,Gerard Niyungeko na Rafaa Ben Achour.


Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)Gerard Niyungeko akipanda mti  ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Afrika yaliyoadhimishwa katika Mahakama hiyo jijini Arusha .Picha na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...