BAYERN MUNICH YAIFUMUA SHAKTAR BAO 7 NA KUTINGA ROBO FAINALI

Bayern Munich imesonga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa kuichapa Shaktar Donestic kwa mabao 7-0.
Baada ya sare ya 0-0 ikiwa ugenini, Bayern imewatandika wageni wake kwa mabao hayo saba huku wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao mmoja kulambwa kadi katika dakika ya 3 tu.
Washambuliaji wake Mario Gotze, Robert Lewandowsky, Frank Ribery na Thomas Muller kila mmoja ‘amecheka’ na nyavu.







Post a Comment

أحدث أقدم