Pages

March 13, 2015

AFRICAN COURT COALITION YAKUTANISHA WADAU KUJADILI MIKAKATI YA KUIFANYA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(katika)akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa African Court Coalition,Wedi Djamba.(wa tatu kulia waliokaa), Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya International Commission of Jurists(ICJ)George Kegoro(kulia kwake)na wajumbe kutoka nchi mbalimbali barani Afrika katika  mkutano wa wadau wa Mahakama hiyo uliofanyika jijini Arusha.

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani akipongezwa na Katibu Mtendaji wa African Court Coalition,Wedi Djamba baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani akitoa hotuba yake wakati akifungua mkutano wa wadau wa African Court Coalition kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha Machi 12,2015
 Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi katika ofisi ya  African Court Coalition.


Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCHPR)Jaji Augustino Ramadhani(kushoto)akijibu maswali ya wandishi wa habari  baada ya kufungua mkutano wa wadau wa Mahakama hiyo jijini Arusha ,kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya International Commission of Jurists(ICJ)George Kegoro.Picha zote na Filbert Rweyemamu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...