Meneja Masoko wa Airtel, Upendo Nkini (katikati) akikabidhi
funguo za gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 465
DDD, kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel
Yatosha Zaidi’, ambaye ni Kondakta wa Malori, Jastini William Dodoo
katika hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es
Salaam jana. Kulia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
Mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha
Zaidi’, Jastini William Dodoo akiwa mwenye furaha ndani ya gari lake
jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 465 DDD, baada ya
kukabidhiwa na Meneja Masoko wa Airtel, Upendo Nkini (kushoto), katika
hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam
jana.
Meneja
Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange
(kulia), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST
lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya
tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Donald Fred Baruti katika
hafla iliyofanyika nyumbani kwa mshindi huyo, Mtaa wa Ngala, eneo la
Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (katikati)
ni Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando.
Mmoja
wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Donald Fred Baruti akilijaribu gari lake jipya aina ya Toyota IST
lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, baada ya kukabidhiwa na Airtel,
katika hafla iliyofanyika nyumbani kwake, Mtaa wa Ngala, eneo la
Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana.
Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kushoto), akikabidhi kadi ya
umiliki wa gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782
DCZ, kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel
Yatosha Zaidi’, Donald Fred Baruti katika hafla iliyofanyika, Mtaa wa
Ngala, eneo la Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana.
Anayeshuhudia (wa pili kushoto) ni Meneja Biashara wa Airtel Kanda ya
Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange.
Mmoja
wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’,
Donald Fred Baruti akiteremka kutoka kwenye gari lake jipya aina ya
Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 782 DCZ, baada ya kukabidhiwa na
Airtel, katika hafla iliyofanyika nyumbani kwake, Mtaa wa Ngala, eneo la
Magomeni Mwembechai jijini Dar es Salaam jana.
Meneja
Biashara wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Fredrick Mwakitwange
(kushoto), akikabidhi funguo za gari jipya aina ya Toyota IST
lililosajiliwa kwa namba T 464 DDD, kwa mmoja wa washindi wa droo ya
tatu ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, ambaye ni Wakala wa
Mtandao huo, John Fred Kiwale katika hafla iliyofanyika, Mtaa wa Togo,
eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam jana. Wa (pili kushoto) ni Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando na (kulia) ni Mke wa mshindi huyo,
Anna Kiwale na motto wake, Sylvia John.
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (katikati), akifafanua
jambo kwa mmoja wa washindi wa droo ya tatu ya promosheni ya ‘Airtel
Yatosha Zaidi’, Jastini William Dodoo (kulia), baada ya kumkabidhi
gari lake jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 465 DDD,
katika hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es
Salaam jana.
No comments:
Post a Comment