Pages

February 5, 2015

RAIS WA ZIMBABWE ATELEZA NA KUANGUKA CHINI YA ZULIA NYEKUNDU BAADA YA HESABU ZA KUKANYAGA NGAZI KUKATAA.

Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Rais wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea.

Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu  alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)

1. Alianza Kushuka Katika Ngazi

2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
3. Tayari amedondoka chini

No comments:

Post a Comment