Pages

February 5, 2015

RAIS WA UJERUMANI AVUTIWA NA UTENDAJI KAZI WA MAKAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU-ARUSHA

Rais wa Mahakama ya Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR)yenye makao yake jijini Arusha,Jaji Augustino Ramadhani akitoa hotuba yake fupi mbele ya Rais wa Shirikisho la Ujerumani,Mheshimiwa Joachim Gauck leo.

Rais wa shirikisho la Ujerumani,Joachim Gauck akizungumza na wafanyakazi wa  Mahakama ya Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR)

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani,Philipo Sanka Marmo(katikati)akibadilishana mawazo na Afisa Habari Mwandamizi wa Mahakama ya  Afrika ya  Haki za Binadamu(AfCHPR)Sukhdev Chatbar(shoto) na Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citizen,Zephania Ubwani.

No comments:

Post a Comment