Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es
Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa
kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam.
Kivuko
cha MV Dar es Salaam kikiwa njiani kuwasili eneo la Magogoni kwa ajili
ya kuanza safari ya kwanza ya majaribio ya kwenda Bagamoyo mkoani
Pwani.Kivuko hiki kinauwezo wa kubeba abiria zaidi ya 300.
Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kamanda wa Navy,
Meja Jenerali Rogastian Laswai kabla ya kuanza safari na Kivuko cha MV
Dar es Salaam.
Waziri wa
Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam Raymond Mushi kushoto wakiwa safarini kuelekea Bagamoyo
Mkoani Pwani.Credit:Father Kidevu
No comments:
Post a Comment