Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mratibu wa
Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM, Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakikagua
mazoezi ya vijana wa Chipukizi wa CCM ya paredi na halaiki kwa ajili ya
Maadhimisho ya Kilele cha Miaka 38 ya CCM, yatakayofanyika Kitaifa leo
kwenye Uwanja wa majimaji mjini Songea.
Vijana
wa Chipukizi wa CCM waliopo katika mazoezi ya halaiki na paredi kwa
ajili ya Maadhimisho ya Miaka 38 ya CCM mjini Songea, wakikipiga saluti
wakati wa mazoezi ya mwisho jana kwenye uwanja wa Majimaji
Kijana wa Chipukizi wa CCM Mbaraka Ngonyani akionyesha umakini wake wakati akipiga saluti wakati wa mazoezi hayo ya mwisho.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu Mkuu wa UVCCM Sixtus
Mapunda wakitazama mazoezi ya mwisho ya Chipukizi hao
Mshika
bendera ya CCM kwenye kikosi cha Bendera cha Gwaride la Umoja wa Vijana
wa CCM, Sharif Mohammed na wenzake wakipita kwa ukakamavu mbele ya
jukwaa kuu wakati wa mazoezi ya mwisho ya gwaride na halaiki kwa ajili
ya Kilala cha Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yanayofanyika kesho Kitaifa
kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea mkoani Ruvuma
Vijana wa Chipukizi wa CCM wakionyesha ukakamavu wakati wa mazoezi yao ya mwisho kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea

wa Chipukizi wa CCM wakionyesha mazoezi ya ukakamavu wakati wa mazoezi
yao ya mwisho kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Vijana
wa Chipukizi wakionyesha ohodari wao wa mazoezi ya 'kikomandoo' wakati
wa mazoezi yao ya mwisho ya paredi na halaiki kwa ajili ya kilele cha
maadhimisho ya miaka 38 ya CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji mjini Songea
Chipukizu hao wakiwa kwenye mazoezi ya halaiki
Mmoja
wa Chipukizi wa CCM waliokuwa katika mazoezi hayo akisaidiwa baada ya
kuanguka kutokana na mazoezi hayo ya mwisho kupamba moto. Alipata ahueni
baada ya kupatiwa huduma ya kwanza. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment