Pages

January 11, 2015

WAZIRI LAZARO NYALANDU AHUDHURIA IBADA YA KUMWEKA WAKFU ASKOFU SOLOMON MASSANGWA JIJINI ARUSHA


Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu.

Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.

Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa akipongezwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu baada ya ibada ya kumsimika kuongoza dayosisi hiyo.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisaliana na waumini waliohudhuria ibada maalumu.


Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(kulia)akiwa na Mbunge wa Arumeru Magharibi,Godluck Ole Medeye wakisalimiana na wananchi na waumini waliohudhuria ibada maalumu.Picha na Filbert Rweyemamu

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akijibu maswali ya waandishi wa habari .


Kwaya ya Usharika wa KKKT Kimandolu ikihudumu

No comments:

Post a Comment