Pages

January 18, 2015

WAHITIMU 10 WAKABIDHIWA MILIONI 10 ZA WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama akitoa hotuba yake wakati wa Sherehe ya mahafali ya Sita katika Fani mbalimbali.

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama akiwa na Bodi ya Chuo pamoja Uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha katika picha ya pamoja na wanafunzi 10 waliojinyakulia kitita cha Sh. milioni 1 kila mmoja kutoka kwa Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kwa kufanya vizuri katika masomo yao

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama akimkabidhi kitita cha Sh milioni 1 mhitimu wa fani ya Utengenezaji Vifaa Tiba(Electrical and Biomedical Engineering),Magreth Michael kwa kufanya vizuri katika masomo yake.

Wahitimu wa Fani ya Uhandisi Mitambo wakitunukiwa Stashahada kwenye Mahafali ya Sita.

Baadhi ya wahitimu wakifatilia sherehe za mahafali ya Sita katika Chuo cha Ufundi Arusha .


No comments:

Post a Comment